logo
imagesliding image

VEGI SUPER

Home  /   products / vegi-super

Product Image

VEGI SUPER

Plant Growth Regulator

Inatumika katika kuimarisha Ukuaji wa Mimea.Inatumika kwenye mazao kama vile Matunda, Mboga mboga, Maua,na mazao mengine ya shambani. Ina mchanganyiko wenye virutubisho vya,

Essential Nutrients

NutrientDescription
NitrojeniHusaidia katika uchukuaji wa virutubisho vingine muhimu kwa kukuza ukuaji wa mizizi na kuongeza ufyonzaji wa virutubisho na mizizi ya mimea.
FosforasiKusitawisha mizizi · Kuongezeka kwa bua na uimara wa shina · Uotaji bora wa maua na uzalishaji wa mbegu·
CalciumMadini muhumu sana kwa mimea, na kazi yake kubwa ni kutengeneza kuta za cell ambazo husaidia kuukinga mmea au tunda dhidi ya vijidudu hatarishi vya magonjwa.
Magnesium Ni madini muhimu katika kuhakikisha ubora wa matunda.
Salfa Kuipa mimea virutubisho muhimu, kuchochea ukuaji imara na kuongeza uzalishaji wa mazao kwa ujumla.

Other Plant Growth Regulator

All Products

Herbicides
Fungicides
Insecticides
Fertilizer
Implements
Plant Growth Regulator
Animal Feeds

Plant Growth Regulator

LET’S START WORK TOGETHER

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!

Testimonial

What Our Client Says

Tangu nianze kutumia viuatilifu hivi, wadudu wamepotea kabisa shambani. Mimea yangu sasa inakua vizuri bila mashambulizi ya wadudu. Mavuno yangu yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Viuatilifu hivi vimenisaidia kulinda mazao yangu hadi kuvuna.

SOLOMON MAGEMBE

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kupulizia mara moja tu, niliona matokeo haraka na haikuhitaji kurudia mara kwa mara. Maelekezo ni rahisi kufuata na viuatilifu vinachanganyika vizuri. Hata wakulima wapya wanaweza kuvitumia kwa urahisi.

ABDALAH RAMADHANI

Happy Client

★ 5.0

Nilitumia viuatilifu hivi bila madhara kwa mimea au mazingira. Ni salama na vyenye matokeo mazuri. Kwa sababu mazao yangu hayakuathiriwa na wadudu, nimepata faida kubwa sokoni mwaka huu.

JESCA NASHON

Happy Client

★ 5.0

Kampuni ilitoa maelekezo mazuri ya matumizi na ushauri wa kitaalamu. Huduma kwa wateja ni nzuri sana. Nimekuwa nikitumia bidhaa hizi kwa misimu kadhaa sasa, na kila mara zinafanya kazi vizuri.

CLEMENCIA JOHN

Happy Client

★ 5.0

Nimewashauri wakulima wenzangu pia kutumia viuatilifu hivi kwa sababu ni bora na vya uhakika. Niliona tofauti ndani ya siku chache tu baada ya kupulizia. Wadudu waliisha haraka na mimea ikaanza kuimarika. Hata wadudu waliokuwa sugu kwa viuatilifu vingine waliangamizwa. Hivi viuatilifu vina nguvu na ufanisi wa hali ya juu.

YOHANA AUGUSTINO

Happy Client

★ 5.0

Mimea yangu iliyokuwa imeathiriwa na wadudu ilianza kuota majani mapya na maua baada ya kutumia viuatilifu hivi. Nimefurahishwa kwa sababu viuatilifu hivi havikuathiri viumbe wengine wasio lengo la kuharibu mazao.

PHILIPO MWAKALELI

Happy Client

★ 5.0

Mwaka huu nimepata mavuno bora zaidi kuliko miaka yote iliyopita. Hakuna hasara kutokana na wadudu tena.

VERONICA GEORGE

Happy Client

★ 5.0

Kwa bei yake, viuatilifu hivi ni nafuu ukilinganisha na matokeo makubwa niliyopata. Inastahili thamani yake kabisa. Nimeitumia kwenye mazao tofauti kama mahindi, nyanya, na mboga mboga na mazao mengine kila mara inafanya kazi vizuri.

GEORGE NATHANAEL

Happy Client

★ 5.0

Bidhaa zina vifungashio vizuri na imara. Rahisi kuhifadhi na hakuna uvujaji wala harufu kali. Kila msimu ninanunua viuatilifu hivi kutoka kampuni hii hii kwa sababu sijawahi kuvunjika moyo.

MARIA JOEL

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kutumia viuatilifu hivi, pia nimeona magonjwa ya mimea kama ukungu na doa doa yakipungua. Kwa sababu wadudu hawarudi haraka, sipulizii mara nyingi, hivyo natumia pesa kidogo kwenye matibabu.

AUGUSTINO MAYAO

Happy Client

★ 5.0