logo
imagesliding image

AMINO E SEL

Powerful Antioxidant for Crazy Chick Disease

Home  /   products / amino-e-sel

Product Image

AMINO E SEL

Powerful Antioxidant for Crazy Chick Disease

Animal Feeds

Vitamin E and selenium deficiencies are main reason for encephalomalacia, muscular dystrophy, exudative diathesis, decreased hatch ability in eggs, infertility problems in calves, cattle, goats, sheeps, poultry and pigs It prevents iron intoxication after iron administration in piglets.

PackCartoon
100GM100GM X 70

DOSAGE: For Oral Administration

  • Poultry and Swine – 2 gm per 2 Lt. of drinking water for 10 days
  • Chicks (< 21 days): 1 gm per 2 Lt. of drinking water for 10 days
  • Calves, Goats and Sheep – 10 gm per 2 Lt. of drinking water for 10 days
  • Cattle – 25 gm per 2 Lt. of drinking water for 10 days

WITHDRAWAL PERIOD

  • None

ADVANTAGES

  • Prevents crazy chick disease
  • For improved fertility and hatchability
  • Helps maintain muscle strength and stamina in poultry and livestock
  • Aids in cases of encephalomalacia and exudative diathesis in poultry
  • Improves muscle tone and reduces problems of leg weakness

Pack Size

  • 100GM x 70

Product Composition

  • Vitamin E feed grade – 200 mg
  • Sodium selenite – 2 mg

SABABU / FAIDA YA KUTUMIA BIDHAA HII

  • Upungufu wa vitamini E na selenium ni miongoni mwa sababu kuu za ugojwa wa degedege ya kuku, kusinyaa kwa misuli, upungufu wa vitamin E kwa kuku, kupungua kwa uwezo wa kuanguliwa kwa mayai, utasa kwa Ng’ombe, Mbuzi, Kondoo, Kuku na Nguruwe
  • Huzuia sumu ya madini chuma kwa mnyama baada ya kuchoma sindano ya madini chuma kwa nguruwe
  • Husaidia wanyama kukua kwa kasi na uwezo wa kushika mimba (infertility)
  • Huzuia tatizo la kondo kubaki (Retained placenta) na maambukizi ya kizazi (Metritis)
  • Huzuia tatizo la ugonjwa wa machuchu (mastitis), joto lisilo onekana (silent heat) na husaidia wanyama kuingia joto

KIPIMO - Tumia kwa njia ya kunywa kwenye maji

  • Kuku na Nguruwe: gm 2 kwa lita 2 ya maji ya kunywa kwa siku 10
  • Vifaranga (chini ya siku 21): gm 100 kwa lita 200 za maji kwa siku 10
  • Ndama, Mbuzi na Kondoo: gm 10 kwa lita 2 za maji kwa siku 10
  • Ng’ombe: gm 25 kwenye lita 2 za maji kwa siku 10
  • Muda wa mazao ya mnyama kurudi katika matumizi tena hakuna

Other Animal Feeds

All Products

Herbicides
Fungicides
Insecticides
Fertilizer
Implements
Plant Growth Regulator
Animal Feeds

Plant Growth Regulator

LET’S START WORK TOGETHER

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!

Testimonial

What Our Client Says

Tangu nianze kutumia viuatilifu hivi, wadudu wamepotea kabisa shambani. Mimea yangu sasa inakua vizuri bila mashambulizi ya wadudu. Mavuno yangu yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Viuatilifu hivi vimenisaidia kulinda mazao yangu hadi kuvuna.

SOLOMON MAGEMBE

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kupulizia mara moja tu, niliona matokeo haraka na haikuhitaji kurudia mara kwa mara. Maelekezo ni rahisi kufuata na viuatilifu vinachanganyika vizuri. Hata wakulima wapya wanaweza kuvitumia kwa urahisi.

ABDALAH RAMADHANI

Happy Client

★ 5.0

Nilitumia viuatilifu hivi bila madhara kwa mimea au mazingira. Ni salama na vyenye matokeo mazuri. Kwa sababu mazao yangu hayakuathiriwa na wadudu, nimepata faida kubwa sokoni mwaka huu.

JESCA NASHON

Happy Client

★ 5.0

Kampuni ilitoa maelekezo mazuri ya matumizi na ushauri wa kitaalamu. Huduma kwa wateja ni nzuri sana. Nimekuwa nikitumia bidhaa hizi kwa misimu kadhaa sasa, na kila mara zinafanya kazi vizuri.

CLEMENCIA JOHN

Happy Client

★ 5.0

Nimewashauri wakulima wenzangu pia kutumia viuatilifu hivi kwa sababu ni bora na vya uhakika. Niliona tofauti ndani ya siku chache tu baada ya kupulizia. Wadudu waliisha haraka na mimea ikaanza kuimarika. Hata wadudu waliokuwa sugu kwa viuatilifu vingine waliangamizwa. Hivi viuatilifu vina nguvu na ufanisi wa hali ya juu.

YOHANA AUGUSTINO

Happy Client

★ 5.0

Mimea yangu iliyokuwa imeathiriwa na wadudu ilianza kuota majani mapya na maua baada ya kutumia viuatilifu hivi. Nimefurahishwa kwa sababu viuatilifu hivi havikuathiri viumbe wengine wasio lengo la kuharibu mazao.

PHILIPO MWAKALELI

Happy Client

★ 5.0

Mwaka huu nimepata mavuno bora zaidi kuliko miaka yote iliyopita. Hakuna hasara kutokana na wadudu tena.

VERONICA GEORGE

Happy Client

★ 5.0

Kwa bei yake, viuatilifu hivi ni nafuu ukilinganisha na matokeo makubwa niliyopata. Inastahili thamani yake kabisa. Nimeitumia kwenye mazao tofauti kama mahindi, nyanya, na mboga mboga na mazao mengine kila mara inafanya kazi vizuri.

GEORGE NATHANAEL

Happy Client

★ 5.0

Bidhaa zina vifungashio vizuri na imara. Rahisi kuhifadhi na hakuna uvujaji wala harufu kali. Kila msimu ninanunua viuatilifu hivi kutoka kampuni hii hii kwa sababu sijawahi kuvunjika moyo.

MARIA JOEL

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kutumia viuatilifu hivi, pia nimeona magonjwa ya mimea kama ukungu na doa doa yakipungua. Kwa sababu wadudu hawarudi haraka, sipulizii mara nyingi, hivyo natumia pesa kidogo kwenye matibabu.

AUGUSTINO MAYAO

Happy Client

★ 5.0