


Poultry Respiratory Tonic
Animal Feeds
Vital role in reducing mucus accumulation and discharging out from respiratory cavities. Clears air passage in lungs to improve respiration. Improve resistance to various respiratory infections. Helps to promotes growth rate and feed conversion.
Ni muhimu katika kupunguza na kutoa makamasi nje kutoka katika mfumo wa hewa. Husafisha njia ya hewa kwenye mapafu ilikuboresha upumuaji. Huboresha uwezo wa kustahimili maambukizi mbalimbali ya mfumo wa hewa. Huponya na kuwapa nafuu kuku wanaopiga chafya. Husaidia kuboresha ukuaji na uwezo wa mnyama kubadilisha chakula kuwa mazao.
| Pack | Cartoon |
|---|---|
| 1LT | 1LT x 12 |
| 500mls | 500mls x 24 |
| 100mls | 100mls x 100 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!