logo
imagesliding image

POULTRY BOOSTER

Premium Chick Tonic (ORAL SOLUTION)

Home  /   products / poultry-booster

Product Image

POULTRY BOOSTER

Premium Chick Tonic (ORAL SOLUTION)

Animal Feeds

POULTRY BOOSTER is indicated for all animal species. It increases appetite, improves disease resistance and immunity building in poultry, enhances weight gain and overall vitality, and prevents and corrects avitaminosis and malnutrition. It reduces chick mortality and acts as a support supplement during lactation, pregnancy, moulting, intense production, stress, convalescence, anorexia and fatty liver.

POULTRY BOOSTER ina tumika kuzuia na kutibu tatizo la upungufu wa vitamini na hali ya utapiamlo (chakula duni), hupunguza vifo vya vifaranga, huongeza FCR na hutumika kama msaada wakati wa mimba, kunyonyesha, kutoa manyoya, uzalishaji mkubwa, mfadhaiko, wakati wa kupona kutokana na ugonjwa, kukosa hamu ya kula na tatizo la mafuta ya ini.

PackCartoon
1LT1LT x 12

INDICATIONS AND SPECIES OF DESTINATION

  • Increase appetite
  • Improving disease resistance and immunity building in poultry
  • Improved weight gain and enhanced overall vitality in your birds
  • Is indicated to prevent and correct avitaminosis and malnutrition states, to reduce chicks mortality and as a support supplement in states of lactation pregnancy, moulting, intense production, stress, convalescence, anorexia and fat liver.

DOSAGE

  • Administer 1ml of POULTRY BOOSTER per 2 Litres of drinking water for 10 days.
  • Oral route in drinking water.

BENEFITS

  • POULTRY BOOSTER tonic is a complex of hydro and fat-soluble vitamins and amino acids that corrects deficient states and improves animals yield and feed conversion ratio.
  • WITHDRAWAL PERIOD: Nil

PRODUCT COMPOSITIONS

  • Vitamin A- 2500000 IU
  • Vitamin D3- 50000 IU
  • Vitamin E- 3.75GM
  • Vitamin B2- 4GM
  • Vitamin B1- 13.5GM
  • Vitamin B6- 2GM
  • Vitamin B12- 10MG
  • Sodium pantothenate- 15MG
  • Vitamin K3- 250MG
  • Choline Chloride- 400MG
  • D L Methionine- 5GM
  • L Lysine- 2.5GM
  • Histidine- 900MG
  • Arginine- 490MG
  • Aspartic Acid- 1.45GM
  • Threonine- 500MG
  • Serine- 680MG
  • Glutamic acid- 1.16GM
  • Proline- 510MG
  • Glycine- 575MG
  • Alanine- 975MG
  • Cystine- 150MG
  • Valine- 1.1MG
  • Leucine- 1.5MG
  • Isoleucine- 125MG
  • Tyrosine- 340MG
  • Phenylanine- 810MG
  • Tryptophane- 75MG
  • Biotin- 2MG
  • Inositol- 2.5MG
  • Excipients- q.s

SABABU YA KUTUMIA POULTRY BOOSTER

  • Huzuia na kutibu upungufu wa vitamini na hali ya utapiamlo
  • Hupunguza vifo vya vifaranga
  • Huongeza FCR
  • Hutumika wakati wa mimba, kunyonyesha, kutoa manyoya, na uzalishaji mkubwa
  • Husaidia wakati wa mfadhaiko, kupona ugonjwa, kukosa hamu ya kula, na tatizo la mafuta ya ini

KIPIMO

  • Weka ml 1 ya POULTRY BOOSTER kwenye lita 2 ya maji kwa siku 10
  • Kwa njia ya kunywa kwenye maji

FAIDA

  • Mchanganyiko wa vitamini mumunyifu ndani ya maji na mafuta na amino asidi
  • Hurekebisha upungufu wa vitamini na kuboresha mazao ya mifugo
  • Huongeza uwezo wa mnyama kubadilisha chakula kuwa mazao
  • Husaidia katika ukuaji wa kuku wa aina zote (mayai, nyama, na chotara)
  • Huongeza hamu ya kula na kuboresha afya
  • Huongeza uzito na uzalishaji hata kwa kuku waliodumaa
  • Huongeza uwezo wa kuzuia magonjwa

Other Animal Feeds

All Products

Herbicides
Fungicides
Insecticides
Fertilizer
Implements
Plant Growth Regulator
Animal Feeds

Plant Growth Regulator

LET’S START WORK TOGETHER

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!

Testimonial

What Our Client Says

Tangu nianze kutumia viuatilifu hivi, wadudu wamepotea kabisa shambani. Mimea yangu sasa inakua vizuri bila mashambulizi ya wadudu. Mavuno yangu yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Viuatilifu hivi vimenisaidia kulinda mazao yangu hadi kuvuna.

SOLOMON MAGEMBE

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kupulizia mara moja tu, niliona matokeo haraka na haikuhitaji kurudia mara kwa mara. Maelekezo ni rahisi kufuata na viuatilifu vinachanganyika vizuri. Hata wakulima wapya wanaweza kuvitumia kwa urahisi.

ABDALAH RAMADHANI

Happy Client

★ 5.0

Nilitumia viuatilifu hivi bila madhara kwa mimea au mazingira. Ni salama na vyenye matokeo mazuri. Kwa sababu mazao yangu hayakuathiriwa na wadudu, nimepata faida kubwa sokoni mwaka huu.

JESCA NASHON

Happy Client

★ 5.0

Kampuni ilitoa maelekezo mazuri ya matumizi na ushauri wa kitaalamu. Huduma kwa wateja ni nzuri sana. Nimekuwa nikitumia bidhaa hizi kwa misimu kadhaa sasa, na kila mara zinafanya kazi vizuri.

CLEMENCIA JOHN

Happy Client

★ 5.0

Nimewashauri wakulima wenzangu pia kutumia viuatilifu hivi kwa sababu ni bora na vya uhakika. Niliona tofauti ndani ya siku chache tu baada ya kupulizia. Wadudu waliisha haraka na mimea ikaanza kuimarika. Hata wadudu waliokuwa sugu kwa viuatilifu vingine waliangamizwa. Hivi viuatilifu vina nguvu na ufanisi wa hali ya juu.

YOHANA AUGUSTINO

Happy Client

★ 5.0

Mimea yangu iliyokuwa imeathiriwa na wadudu ilianza kuota majani mapya na maua baada ya kutumia viuatilifu hivi. Nimefurahishwa kwa sababu viuatilifu hivi havikuathiri viumbe wengine wasio lengo la kuharibu mazao.

PHILIPO MWAKALELI

Happy Client

★ 5.0

Mwaka huu nimepata mavuno bora zaidi kuliko miaka yote iliyopita. Hakuna hasara kutokana na wadudu tena.

VERONICA GEORGE

Happy Client

★ 5.0

Kwa bei yake, viuatilifu hivi ni nafuu ukilinganisha na matokeo makubwa niliyopata. Inastahili thamani yake kabisa. Nimeitumia kwenye mazao tofauti kama mahindi, nyanya, na mboga mboga na mazao mengine kila mara inafanya kazi vizuri.

GEORGE NATHANAEL

Happy Client

★ 5.0

Bidhaa zina vifungashio vizuri na imara. Rahisi kuhifadhi na hakuna uvujaji wala harufu kali. Kila msimu ninanunua viuatilifu hivi kutoka kampuni hii hii kwa sababu sijawahi kuvunjika moyo.

MARIA JOEL

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kutumia viuatilifu hivi, pia nimeona magonjwa ya mimea kama ukungu na doa doa yakipungua. Kwa sababu wadudu hawarudi haraka, sipulizii mara nyingi, hivyo natumia pesa kidogo kwenye matibabu.

AUGUSTINO MAYAO

Happy Client

★ 5.0