


Brioler Booster Multivitamin with Additional Amino Acids. (WATER SOLUBLE POWDER)
Animal Feeds
INDICATION A balance supplement containing vitamins, minerals and extra amino acids in water soluble form to promote growth of commercial broilers and chicks up to 8 weeks of age. • Useful to combat stress during periods of high temperature, vaccination and as aid in recovery from disease, to boost perfomance of the stock. • BOOSTERMIN contains the extra Methionone and Lysine which helps the healthy and productive poultry for maximum growth and high performance. Also, the references show increased final body and breast weight with increasing dietary methionone content. Methionine helps to improve and normalize the liver function which increases the immunity and prevent poultry from infectious diseases.
SABABU/FAIDA YA KUTUMIA BOOSTERMIN Boostermin ni kirutubisho ambacho kina vitamini, madini na asidi za amino za ziada ndani yake na ipo katika mfumo wapoda unao yeyuka kwenye maji ili kusaidia ukuaji wa kuku wa nyama na vifaranga hadi kufikia wiki 8. Boostermin hutumika katika kupambana na mfadhaiko katika kipindi cha joto kali, Chanjo, usafirishaji na kama msaada katika kupona kipindi wanapo ugua, na kuongeza uzalishaji wa kuku. Boostermin ina methionine na lysine za ziada ambazo husaidia kuku wenye afya na tija ili waweze kukua kwa haraka na kuongeza uzalishaji Pia rejeo zinaonyesha kadiri unavyoongeza methionine katika chakula cha kuku ndivyo utakavyopata kuku wenye uzito mkubwa na kidari chenye uzito mkubwa. Methionine husaidia kuboresha na kurekebisha ufanisi wa kazi za ini ambazo huongeza kinga na kuzuia kuku kupata magonjwa ya kuambukiza. • Hutumika kulelea vifaranga na pia hutumika kwa kuku wakubwa. • Huongeza uchangamfu kwa vifaranga na kuongeza kasi ya ukuaji. • Wakati wa magonjwa husaidia kuku kupona haraka. • Huongeza uzalishaji wa kuku wa mayai nawa nyama. • Hudumisha na kuboresha afya ya mnyama.
| Pack | Cartoon |
|---|---|
| 1KG | 1KG X 12 |
| 500GM | 500GM X 24 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!