logo
imagesliding image

AMINO EGG BOOSTER

Nutrients For Eggshell Quality

Home  /   products / amino-egg-booster

Product Image

AMINO EGG BOOSTER

Nutrients For Eggshell Quality

Animal Feeds

Helps overcome thin-shelled and leathery eggs, reduces shell fractures, controls uneven and rough eggshells, boosts egg production during laying period, and helps birds recover from stress.

Huongeza utagaji wa mayai, kuondoa tatizo la magamba mabovu, kupunguza uwezekano wa kuvunjika kwa ganda, kuboresha afya na kinga ya kuku, na kudumisha utagaji wenye ubora kwa muda mrefu.

PackCartoon
1 Litre1 LT x 12

ADVANTAGES

  • Overcomes problems of thin-shelled eggs and leathery eggs
  • Reduces the incidence of shell fracture with hairline cracks
  • Controls uneven and rough eggshell
  • Boosts egg production in laying birds and helps in stress recovery
  • Maintains high production levels throughout the laying period

DOSAGE

  • Breeders and Layers: 1 ml per 2 Litres of drinking water for 10 days
  • Supplementation may be re-introduced if required
  • Withdrawal period: NONE

PRODUCT COMPOSITION

  • Calcium – 2000 mg
  • Phosphorus – 1000 mg
  • Vitamin D3 – 8000 IU
  • Vitamin B12 – 100 mcg

VIRUTUBISHO KWA UBORA WA GANDA LA YAI

  • Huongeza utagaji wa mayai mengi na yenye ubora
  • Husaidia kuondoa tatizo la mayai yenye magamba membamba na mayai yasiyo na magamba (teketeke)
  • Hupunguza uwezekano wa ganda kuvunjika na kuwa na mistari ya nyufa
  • Huboresha afya na kuzuia mayai kuwa ya ukubwa tofauti na magamba yasiyo nyororo
  • Hudumisha utagaji wa mayai kwa muda mrefu na ganda kuwa imara
  • Huboresha afya ya kuku na kuimarisha kinga dhidi ya magonjwa

KIPIMO

  • Kuku wazazi na watagao: 1 ml kwa lita 2 ya maji kwa siku 10
  • Virutubisho vinaweza kutolewa tena endapo kutahitajika

Other Animal Feeds

All Products

Herbicides
Fungicides
Insecticides
Fertilizer
Implements
Plant Growth Regulator
Animal Feeds

Plant Growth Regulator

LET’S START WORK TOGETHER

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!

Testimonial

What Our Client Says

Tangu nianze kutumia viuatilifu hivi, wadudu wamepotea kabisa shambani. Mimea yangu sasa inakua vizuri bila mashambulizi ya wadudu. Mavuno yangu yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Viuatilifu hivi vimenisaidia kulinda mazao yangu hadi kuvuna.

SOLOMON MAGEMBE

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kupulizia mara moja tu, niliona matokeo haraka na haikuhitaji kurudia mara kwa mara. Maelekezo ni rahisi kufuata na viuatilifu vinachanganyika vizuri. Hata wakulima wapya wanaweza kuvitumia kwa urahisi.

ABDALAH RAMADHANI

Happy Client

★ 5.0

Nilitumia viuatilifu hivi bila madhara kwa mimea au mazingira. Ni salama na vyenye matokeo mazuri. Kwa sababu mazao yangu hayakuathiriwa na wadudu, nimepata faida kubwa sokoni mwaka huu.

JESCA NASHON

Happy Client

★ 5.0

Kampuni ilitoa maelekezo mazuri ya matumizi na ushauri wa kitaalamu. Huduma kwa wateja ni nzuri sana. Nimekuwa nikitumia bidhaa hizi kwa misimu kadhaa sasa, na kila mara zinafanya kazi vizuri.

CLEMENCIA JOHN

Happy Client

★ 5.0

Nimewashauri wakulima wenzangu pia kutumia viuatilifu hivi kwa sababu ni bora na vya uhakika. Niliona tofauti ndani ya siku chache tu baada ya kupulizia. Wadudu waliisha haraka na mimea ikaanza kuimarika. Hata wadudu waliokuwa sugu kwa viuatilifu vingine waliangamizwa. Hivi viuatilifu vina nguvu na ufanisi wa hali ya juu.

YOHANA AUGUSTINO

Happy Client

★ 5.0

Mimea yangu iliyokuwa imeathiriwa na wadudu ilianza kuota majani mapya na maua baada ya kutumia viuatilifu hivi. Nimefurahishwa kwa sababu viuatilifu hivi havikuathiri viumbe wengine wasio lengo la kuharibu mazao.

PHILIPO MWAKALELI

Happy Client

★ 5.0

Mwaka huu nimepata mavuno bora zaidi kuliko miaka yote iliyopita. Hakuna hasara kutokana na wadudu tena.

VERONICA GEORGE

Happy Client

★ 5.0

Kwa bei yake, viuatilifu hivi ni nafuu ukilinganisha na matokeo makubwa niliyopata. Inastahili thamani yake kabisa. Nimeitumia kwenye mazao tofauti kama mahindi, nyanya, na mboga mboga na mazao mengine kila mara inafanya kazi vizuri.

GEORGE NATHANAEL

Happy Client

★ 5.0

Bidhaa zina vifungashio vizuri na imara. Rahisi kuhifadhi na hakuna uvujaji wala harufu kali. Kila msimu ninanunua viuatilifu hivi kutoka kampuni hii hii kwa sababu sijawahi kuvunjika moyo.

MARIA JOEL

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kutumia viuatilifu hivi, pia nimeona magonjwa ya mimea kama ukungu na doa doa yakipungua. Kwa sababu wadudu hawarudi haraka, sipulizii mara nyingi, hivyo natumia pesa kidogo kwenye matibabu.

AUGUSTINO MAYAO

Happy Client

★ 5.0