logo
imagesliding image

AMINOLYTE

Water Soluble Powder With Vitamins, Electrolytes and Acidifiers for Livestock and Poultry (Best Electrolyte)

Home  /   products / aminolyte

Product Image

AMINOLYTE

Water Soluble Powder With Vitamins, Electrolytes and Acidifiers for Livestock and Poultry (Best Electrolyte)

Animal Feeds

AMINOLYTE is used as a continuous source of essential micronutrients, helping animals cope with stress caused by vaccination, transportation, weather changes, and diseases. It provides essential amino acids that support growth and improve feed conversion. Recommended to use for at least 10 days or until appetite returns.

AMINOLYTE inaweza kutumika kama chanzo cha virutubisho muhimu katika hali ya joto na uzalishaji wa kisasa. Husaidia kupunguza mfadhaiko kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, magonjwa, chanjo, usafiri, na kukata midomo. Huongeza ukuaji, utagaji, hamu ya kula, na FCR, na hutumika pia wakati wa magonjwa kusaidia uponyaji.

PackCartoon
100 GM100GM x 70

INDICATION (Continuous Application)

  • AMINOLYTE may be used as a source of micronutrients in tropical conditions and for intensive production methods.
  • Changes, vaccination, transportation and debarking etc
  • It also provides essential amino acids to promoter growth and improved feed conversion.
  • Intensive Application Helps to reduce stress in animals arising from diseases, weather.
  • AMINOLYTE should be used for at least 10 days or until appetite is regained.

DOSAGE AND ADMINISTRATION

  • Continuous Application: Poultry- 1 gm per 2 Litres of water for 10 days
  • Continuous Application: Swine- 1 gm per 2 Litres of water for 10 days
  • Intensive application (treatment): Poultry- 2 gm per 1 Litre of water for 10 days
  • Intensive application (treatment): Swine- 2 gm per 1 Litre of water for 10 days

PRODUCT COMPOSITION

  • Vitamin A – 10.0 MIU
  • Vitamin D3 – 4.0 MIU
  • Vitamin E – 6.5 g
  • Vitamin K3 – 2.0 g
  • Vitamin B1 – 1.5 g
  • Vitamin B2 – 3.5 g
  • Vitamin B6 – 2.5 g
  • Vitamin B12 – 10 mg
  • Vitamin C – 12 g
  • Folic Acid – 0.4 g
  • Nicotinic Acid – 7 g
  • Pantothenic Acid – 7 g
  • Magnesium – 6 g
  • Potassium – 7.5 g
  • Sodium – 20 g
  • Lysine – 20 g
  • Methionine – 10 g
  • Threonine – 5 g
  • Citric Acid – 10 g

KWA MATUMIZI ENDELEVU

  • AMINOLYTE inaweza kutumika kama chanzo cha virutubisho muhimu kwenye hali ya hewa ya joto na katika mfumo wa uzalishaji usiyo kuwa wa huria.
  • Pia hutoa amino asidi muhimu zisizo zalishwa na mwili ili kuboresha ukuaji na uwezo wa myama kubadilisha chakula kuwa mazao.
  • Matumizi sahihi ya aminolyte husaida kupunguza mfadhaiko unaotokana na magonjwa, mabadiliko ya hali ya hewa, chanjo, usarishaji na kukata midono n.k.
  • AMINOLYTE inapaswa kutumika kwa angalau siku 10 au hadi mnyama atakapo pata tena hamu ya kula.
  • Hu boost kuku katika ukuaji, utagaji na afya kwa ujumla.
  • Huondoa stress za ain azote kwa Wanyama (chanjo, usafiri,n.k).
  • Kusaidia sana katika kuongeza uzalishaji.
  • Hutumika wakati wa magonjwa na matibabu kusaidia uponyaji.
  • Huongeza hamu ya kula na FCR.

KIPIMO NA JINSI YA KUWAPATIA Kwa matumizi endelevu

  • Kuku: 1 gm kwa lita 2 za maji kwa siku 10
  • Nguruwe: gm 1 kwa lita 2 ya maji kwa siku 10 Kwa matumizi sahihi ya matibabu
  • Kuku: 2gm kwa lita 1 ya maji kwa siku 10
  • Nguruwe: 2gm kwa lita 1 ya maji kwa siku 10

Other Animal Feeds

All Products

Herbicides
Fungicides
Insecticides
Fertilizer
Implements
Plant Growth Regulator
Animal Feeds

Plant Growth Regulator

LET’S START WORK TOGETHER

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!

Testimonial

What Our Client Says

Tangu nianze kutumia viuatilifu hivi, wadudu wamepotea kabisa shambani. Mimea yangu sasa inakua vizuri bila mashambulizi ya wadudu. Mavuno yangu yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Viuatilifu hivi vimenisaidia kulinda mazao yangu hadi kuvuna.

SOLOMON MAGEMBE

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kupulizia mara moja tu, niliona matokeo haraka na haikuhitaji kurudia mara kwa mara. Maelekezo ni rahisi kufuata na viuatilifu vinachanganyika vizuri. Hata wakulima wapya wanaweza kuvitumia kwa urahisi.

ABDALAH RAMADHANI

Happy Client

★ 5.0

Nilitumia viuatilifu hivi bila madhara kwa mimea au mazingira. Ni salama na vyenye matokeo mazuri. Kwa sababu mazao yangu hayakuathiriwa na wadudu, nimepata faida kubwa sokoni mwaka huu.

JESCA NASHON

Happy Client

★ 5.0

Kampuni ilitoa maelekezo mazuri ya matumizi na ushauri wa kitaalamu. Huduma kwa wateja ni nzuri sana. Nimekuwa nikitumia bidhaa hizi kwa misimu kadhaa sasa, na kila mara zinafanya kazi vizuri.

CLEMENCIA JOHN

Happy Client

★ 5.0

Nimewashauri wakulima wenzangu pia kutumia viuatilifu hivi kwa sababu ni bora na vya uhakika. Niliona tofauti ndani ya siku chache tu baada ya kupulizia. Wadudu waliisha haraka na mimea ikaanza kuimarika. Hata wadudu waliokuwa sugu kwa viuatilifu vingine waliangamizwa. Hivi viuatilifu vina nguvu na ufanisi wa hali ya juu.

YOHANA AUGUSTINO

Happy Client

★ 5.0

Mimea yangu iliyokuwa imeathiriwa na wadudu ilianza kuota majani mapya na maua baada ya kutumia viuatilifu hivi. Nimefurahishwa kwa sababu viuatilifu hivi havikuathiri viumbe wengine wasio lengo la kuharibu mazao.

PHILIPO MWAKALELI

Happy Client

★ 5.0

Mwaka huu nimepata mavuno bora zaidi kuliko miaka yote iliyopita. Hakuna hasara kutokana na wadudu tena.

VERONICA GEORGE

Happy Client

★ 5.0

Kwa bei yake, viuatilifu hivi ni nafuu ukilinganisha na matokeo makubwa niliyopata. Inastahili thamani yake kabisa. Nimeitumia kwenye mazao tofauti kama mahindi, nyanya, na mboga mboga na mazao mengine kila mara inafanya kazi vizuri.

GEORGE NATHANAEL

Happy Client

★ 5.0

Bidhaa zina vifungashio vizuri na imara. Rahisi kuhifadhi na hakuna uvujaji wala harufu kali. Kila msimu ninanunua viuatilifu hivi kutoka kampuni hii hii kwa sababu sijawahi kuvunjika moyo.

MARIA JOEL

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kutumia viuatilifu hivi, pia nimeona magonjwa ya mimea kama ukungu na doa doa yakipungua. Kwa sababu wadudu hawarudi haraka, sipulizii mara nyingi, hivyo natumia pesa kidogo kwenye matibabu.

AUGUSTINO MAYAO

Happy Client

★ 5.0