


PROBINEB 70% + CYMOXANIL 6%
Fungicides
Ni kiua kuvu kisichochagua aina ya kuvu chenye wigo mpana wa kuzuiana kutibu kuvu na ukungu kwenye mazao kama nyanya,viazi,kabichi na vitunguu. Nyunyizia kabla au katika hatua ya awali ya ugonjwa na nyunyizia mara moja kila baada ya siku 7 kulingana na hali. Inaweza kunyunyiziwa mara kwa mara 2-3 ili kuhakikisha athari ya udhibiti. Usinyunyizie kipindi cha upepo mkali au mvua.
Is a broad spectrum and systemic fungicide for protecting and curing early and late blight, Anthracnose, scab and Downy mildew in potatoes, tomatoes, cabbage and onions.Spray before or in the early stage of disease, and spray once every 7 days according to the condition. It can be sprayed continuously for 2-3 times. The spraying must be done in the way that each single part of the plants is coated.
| Pack | Cartoon |
|---|---|
| 1 KG | 1KG x 20 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!