logo
imagesliding image

AMINO CAL GOLD

Calcium, Phosphorus with Vitamins D3 & B12 for Animal Healthcare

Home  /   products / amino-cal-gold

Product Image

AMINO CAL GOLD

Calcium, Phosphorus with Vitamins D3 & B12 for Animal Healthcare

Animal Feeds

Increase milk yield, improve muscle and skeletal strength, promote growth and stamina, help in protein synthesis, prevent milk fever and rickets in cattle, assist in mastitis prevention, strengthen bones, improve egg production and eggshell strength, reduce leg weakness in broilers and layers, and enhance overall growth and hatchability.

Huongeza uzalishaji wa maziwa, kuimarisha hamu ya kula na FCR, kuboresha afya ya mnyama, kuimarisha mifupa na misuli, kusaidia kutengeneza protini mwilini, kuzuia homa ya maziwa, na kuongeza ukuaji na stamina kwa wanyama.

PackCartoon
1 Litre1 LT x 12
500 ML500 ML x 24

BENEFITS

  • Increase milk yield
  • Improve muscle and skeletal strength
  • Promote growth and stamina
  • Help in protein synthesis
  • Prevents milk fever and rickets in cattle
  • Help in mastitis prevention Improves skeletal and muscular strength of cattle
  • Makes stronger bones and prevent bones related disease in cattle and poultry
  • Improves egg production and eggshell strength in poultry
  • Prevents leg weakness in broilers, breeders, and layers
  • Improves overall growth and hatchability in broilers, breeders and layers.

DIRECTION FOR USE

  • Cattle: 2 ml per 1 L of water for 8–10 days
  • Poultry: 1 ml per 1 L of water for 8–10 days
  • Chicks: 1 ml per 1 L of water for 8–10 days
  • Growers / Broilers: 2.5 ml per 1 L of water for 8–10 days
  • Egg laying hens: 5 ml per 1 L of water for 8–10 days

PRODUCT COMPOSITION

  • Calcium – 32560 mg
  • Phosphorus – 16770 mg
  • Vitamin D3 – 16000 IU
  • Vitamin B12 – 2000 mcg
  • Carbohydrate – 400000 mg
  • Asparagus Recemoces – 2000 mg
  • Magnesium – 20000 mg

FAIDA

  • Huongeza uzalishaji mkubwa wa maziwa bora kwa ng’ombe na mbuzi
  • Huongeza hamu ya kula na FCR
  • Huboresha afya ya mnyama
  • Huimarisha mifupa na nguvu za misuli
  • Husaidia katika kutengeneza protini muhimu mwilini
  • Huzuia homa ya maziwa (Milk fever)
  • Husaidia ukuaji wa haraka na stamina kwa mnyama

NAMNA YA KUTUMIA

  • Ng’ombe: 2 ml kwa lita 1 ya maji kwa siku 8–10
  • Ndege: 1 ml kwa lita 1 ya maji kwa siku 8–10
  • Vifaranga: 1 ml kwa lita 1 ya maji kwa siku 8–10
  • Kuku wanyama: 2.5 ml kwa lita 1 ya maji kwa siku 8–10
  • Kuku wa mayai: 5 ml kwa lita 1 ya maji kwa siku 8–10

Other Animal Feeds

All Products

Herbicides
Fungicides
Insecticides
Fertilizer
Implements
Plant Growth Regulator
Animal Feeds

Plant Growth Regulator

LET’S START WORK TOGETHER

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!

Testimonial

What Our Client Says

Tangu nianze kutumia viuatilifu hivi, wadudu wamepotea kabisa shambani. Mimea yangu sasa inakua vizuri bila mashambulizi ya wadudu. Mavuno yangu yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Viuatilifu hivi vimenisaidia kulinda mazao yangu hadi kuvuna.

SOLOMON MAGEMBE

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kupulizia mara moja tu, niliona matokeo haraka na haikuhitaji kurudia mara kwa mara. Maelekezo ni rahisi kufuata na viuatilifu vinachanganyika vizuri. Hata wakulima wapya wanaweza kuvitumia kwa urahisi.

ABDALAH RAMADHANI

Happy Client

★ 5.0

Nilitumia viuatilifu hivi bila madhara kwa mimea au mazingira. Ni salama na vyenye matokeo mazuri. Kwa sababu mazao yangu hayakuathiriwa na wadudu, nimepata faida kubwa sokoni mwaka huu.

JESCA NASHON

Happy Client

★ 5.0

Kampuni ilitoa maelekezo mazuri ya matumizi na ushauri wa kitaalamu. Huduma kwa wateja ni nzuri sana. Nimekuwa nikitumia bidhaa hizi kwa misimu kadhaa sasa, na kila mara zinafanya kazi vizuri.

CLEMENCIA JOHN

Happy Client

★ 5.0

Nimewashauri wakulima wenzangu pia kutumia viuatilifu hivi kwa sababu ni bora na vya uhakika. Niliona tofauti ndani ya siku chache tu baada ya kupulizia. Wadudu waliisha haraka na mimea ikaanza kuimarika. Hata wadudu waliokuwa sugu kwa viuatilifu vingine waliangamizwa. Hivi viuatilifu vina nguvu na ufanisi wa hali ya juu.

YOHANA AUGUSTINO

Happy Client

★ 5.0

Mimea yangu iliyokuwa imeathiriwa na wadudu ilianza kuota majani mapya na maua baada ya kutumia viuatilifu hivi. Nimefurahishwa kwa sababu viuatilifu hivi havikuathiri viumbe wengine wasio lengo la kuharibu mazao.

PHILIPO MWAKALELI

Happy Client

★ 5.0

Mwaka huu nimepata mavuno bora zaidi kuliko miaka yote iliyopita. Hakuna hasara kutokana na wadudu tena.

VERONICA GEORGE

Happy Client

★ 5.0

Kwa bei yake, viuatilifu hivi ni nafuu ukilinganisha na matokeo makubwa niliyopata. Inastahili thamani yake kabisa. Nimeitumia kwenye mazao tofauti kama mahindi, nyanya, na mboga mboga na mazao mengine kila mara inafanya kazi vizuri.

GEORGE NATHANAEL

Happy Client

★ 5.0

Bidhaa zina vifungashio vizuri na imara. Rahisi kuhifadhi na hakuna uvujaji wala harufu kali. Kila msimu ninanunua viuatilifu hivi kutoka kampuni hii hii kwa sababu sijawahi kuvunjika moyo.

MARIA JOEL

Happy Client

★ 5.0

Baada ya kutumia viuatilifu hivi, pia nimeona magonjwa ya mimea kama ukungu na doa doa yakipungua. Kwa sababu wadudu hawarudi haraka, sipulizii mara nyingi, hivyo natumia pesa kidogo kwenye matibabu.

AUGUSTINO MAYAO

Happy Client

★ 5.0