BESTOSATE (Glyphosate 480g/l)
Non selective systemic herbicide for control of wide range of annual and perennial grasses, broadleaf weeds, certain woody perennials and for field preparation before planting maize and other field crops.
Ni kiua gugu chenye mpenyo na uwigo mpana wa kuzuia na kuangamiza magugu mapana na vichaka wakati wa kuandaa shamba kabla ya kupanda mazao mbalimbali kama mahindi, mpunga, kahawa n.k
- Packing: 1 ltr and 20 ltrs
RONDO 480 SL (Glyphosate 480g/l)
Soluble concentrate containing Glyphosate in the form of 480g/L isopropylamine salt.
Post emergence, systemic and non selective herbicide with translocation within the plant to control annual and perennial grasses and broadleaf weeds; sedges; sugar cane ratoon and tree stump re growths.
Kiua gugu katika hali ya kumiminika chenye grammu 480 kwa lita chumvi ya Glyphosate Hupenya ndani ya mimea kwa kupitia majani na mashina na kuua magugu ya msimu, yale ya kudumu, ndago, mbudu na ukoka
- Packing: 1 ltr
SUPAMINE 720 SL 2, 4-D
A selective water soluble herbicide for post emergence control of broad leaf weeds in wheat and other field crops.
Kiua gugu chenye mpenye na uwigo mpana wa kuzuia na kuangamiza magugu mapana wakati wa kuandaa shamba la ngano, mpunga, mahindi, miwa na mazao mengine.
- Packing: 1 ltr
SUPASATE 480 SL (Glyphosate 480g/l)
For control of wide range of annual and perennial grasses, broadleaf weeds, certain woody perennials and for field preparation before planting maize and other field crops.
Kiuagugu chenye mpenyo na uwigo mpana wa kuzuia na kuangamiza magugu mapana na vichaka wakati wa kuandaa shamba la mahindi na mazao mengine.
- Packing: 1 ltr
RONDO 75.7 SG (Glyphosate WDG 757g/kg)
A systemic and non-selective herbicide with rapid translocation through the plant containing 757 GM/KG Glyphosate Ammonium Salt. It is used for control of annual and perennial grasses and broadleaved weeds.
Kiua gugu kisicho chagua, hupenya kwa kutumia majani na kusafirishwa mpaka kwenye mzizi, huangamiza majani yote kipindi cha kuandaa shamba. Kina Ammonium Salt of Glyphosate 757g/kg.
- Packing: 100g
BESTOMINE 720 SL 2, 4-D
Selective herbicide for post emergence control of broad leaf weeds in Wheat, Rice, Maize, Sugarcane and other field crops, grasslands and pastures as indicated.
Ni kiua gugu chenye wigo mpana wa kuzuia na kuangamiza magugu mapana kwenye mashamba ya mahindi, ngano, mpunga, miwa, mtama.
- Packing: 1 ltr