MANCOSTAR SUPER 720 WP (Mancozeb 640g/kg + Metalaxyl 80g/kg)

A broad spectrum systematic and contact fungicide for control of fungal diseases in Tomatoes and other agricultural crops by it’s preventive and curative action.
Ni kiuatilifu chenye uwigo mpana wa kuagamiza kuvu, mengine, kutu na magonjwa mengine kwenye nyanya na mazao mengine. Hutibu na kukinga kuvu na magonjwa kwenye mazao.

  • Packing: 200g, 500g & 1kg

SUPAZEB 80 WP (Mancozeb 800g/kg)

A broad spectrum contact fungicide to control wide variety of diseases in tomato and other vegetables, field crops and fruits by its preventive action only.
Kiua kuvu cha kuzuia kuambukizwa ukungu kwenye nyanya, matunda, maua na mbogamboga.

  • Packing: 500g & 1kg

BESTONIL 50% SC (Chlorothalonil 500g/l SC)

A broad spectrum and contact fungicide for control of late blight in Tomatoes and downy mildew in vegetables and flowers. It is also effective against CBD in coffee.
Ni kiwatilifu cha kuzuia na kutibu magonjwa ya kutu ya majani, ukungu, CBD kwenye kahawa, kuvu, madoa, kukauka na mabaka ya majani kwenye mazao mbalimbali kama nyanya, viazi, maharage, kahawa, migomba.

  • Packing: 250 ml, 500 ml &1 ltr