BESTACRON 720 EC (Profenofos 720g/l EC)

A foliar insecticide and acaricide which is highly effective against mining and sucking pests in Onions, Tea, Coffee, other vegetables and other commercial crops.

Ni kiua wadudu na kupe kwenye mimea, chenye nguvu ya kudhibiti wadudu wanaofyoza, watafunao na wanaobungua majani kwenye mazao kama vile korosho, vitunguu, kahawa na mbogamboga.

  • Packing: 100 ml, 250 ml, 500 ml & 1 ltr

TUNZA 70 WS