Wembley’s Farm Care
Knapsack Sprayer
Kifaa kinachotumika kupuliza dawa za ufukizo (fumigation) na kilimo kama dawa za magugu, ukungu, madudu na vile vile hutumika kupuliza mbolea kwenye mazao.
- Tank Capacity: 16 ltr
OX Plough
The animal driven ploughs are manufactured with robust quality raw material procured from the most well known vendors. An optimum quality range of animal drawn plough is available with us at very competitive rates.
Ni jembe la kukokotwa na ng’ombe au punda. Hurahisisha kazi ya kulima hasa ya kukatuwa undogo na huvutwa na wanyama.
- Weight : 33kg & 35kg
Wembley’s Farm Care
Knapsack Sprayer
Kifaa kinachotumika kupuliza dawa za ufukizo (fumigation) na kilimo kama dawa za magugu, ukungu, madudu na vile vile hutumika kupuliza mbolea kwenye mazao.
- Tank Capacity: 20 ltr